PURUKUSHANI YA MAMA NZIGHE

Kama ilivyo kawaida kila Jumapili jioni, sote wajukuu tulijumuika chini ya mvule na kumngojea babu awasili ili atuhadithie visa vilivyotukia wakati alipokua barobaro. Hadithi za babu zilituburudisha na kutumakinisha vilivyo, hata kuliko elimu tuliyopewa ya darasani kwenye daftari. Mzee huyu mwenye mvi nyeupi pepepe alikua maktaba ya uhalisia.  Nyingi ya…

Continue reading